Addressing challenges in agriculture sector

DODOSO LA AFISA UGANI – KATA
TAARIFA ZA MSINGI

  1. Jina la Mhojiwa…

  2. Jinsi ya Mhojiwa (A) Me (B) Ke

  3. Jina la Msimamizi…

  4. Tarehe ya Mahojiano …

  5. Jina la Mkoa …Chagua Mkoa

  6. Jina la Halmashauri … Chagua Halmashauri

  7. Jina la Kata … Chagua Kata

  8. Mahali- Chukua (Majira ya Nukta)
    TAARIFA ZA KIUCHUMI NA KIJAMII

  9. Kata yako ina jumla ya kaya ngapi? …

  10. Kati ya hizo ni kaya ngapi zinajihusisha na kilimo ?..
    HALI YA UZALISHAJI NA TIJA -DCD

  11. Ni yapi mazao makuu yanayozalishwa kwenye Kata yako ? (Tafadhali yataje)
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u)chai (v) mazao mengine, yataje …

  12. Eneo la uzalishaji kwa zao kwa Kata (ekari)
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …

  13. Mavuno kwa kila zao kwa Kata (kilo)
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v)mazao mengine, yataje…

  14. Tija kwa kila zao kwa ekari
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v)mazao mengine, yataje…

HALI YA MATUMIZI NA UPATIKANAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO -DCD
15. Je, wakulima katika Kata yako wanatumia pembejeo za Kilimo ?
a. Ndiyo
b. Hapana
16. Kama jibu ni ndiyo, ni pembejeo za aina gani zinatumika?
a. Mbolea
b. Mbegu bora
c. Viuatilifu
17. Kama jibu ni Hapana, eleza kwanini? …
18. Pembejeo hizo zinapatikana wapi?
a. Ndani ya Kata
b. Nje ya Kata
19. Kama jibu ni (a) kuna wauzaji wa pembejeo wangapi? Tafadhali taja …
20. Je, ni idadi ya wakulima wangapi wanatumia mbolea? Tafadhali taja …
21. Je, ni aina gani ya mbolea zinazotumika ?
a. Mbolea za viwandani
b. Mbolea za asili
c. Mbolea za viwandani na za asili
22. Kama ni jibu ni (a) ni aina ipi ya mbolea inayotumika ?
a. Mbolea ya kupandia
b. Mbolea ya kukuzia
23. Je, mbolea za kupandia zinatumika kwenye mazao gani ?
(a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u Chai (v) mazao mengine, yataje…

  1. Taja wastani wa matumizi ya mbolea ya kupandia kwa ekari katika Kata yako (Kg)
    a. 0 – 25
    b. 26 – 50
    c. Zaidi ya 50

  2. Je, mbolea za kukuzia zinatumika kwenye mazao gani ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…

  3. Taja wastani wa matumizi ya mbolea ya kukuzia kwa ekari katika Kata yako (Kg)
    a. 0 – 25
    b. 26 – 50
    c. Zaidi ya 50

  4. Je, mbolea ya kupandia na kukuzia inatumika kwenye mazao gani ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …

  5. Taja wastani wa matumizi ya mbolea ya kupandia na kukuzia kwa ekari katika Kata yako (Kg)
    a. 0 – 25
    b. 26 – 50
    c. Zaidi ya 50

  6. Je, mbolea za asili zinatumika kwenye mazao gani?
    (a) Mahindi Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…

  7. Je, mbolea za viwandani na asili zinatumika kwenye mazao gani?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…

  8. Je, ni kwa asilimia ngapi wakulima wanatumia mbolea za asili?
    a. 0 – 30
    b. 31 – 60
    c. 61 - 100

  9. Je, ni wakulima wangapi wamesajiliwa kwenye mfumo wa Ruzuku ya mbolea katika Kata yako?

  10. Je, wakulima katika Kata yako wanatumia mbegu za aina gani ?
    a. Mbegu bora
    b. Mbegu za asili
    c. Mbegu bora na mbegu za asili

  11. Kama jibu ni (a), mbegu hizo zinatumika kwenye mazao gani ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…

  12. Je, mbegu hizo zinauzwa bei gani ? Taja bei…

  13. Je. asilimia ngapi ya wakulima wanatumia mbegu bora ?
    a. 0 – 30
    b. 31 – 60
    c. 61 – 100

  14. Kama jibu ni (b) – mbegu za asili, mbegu hizo zinatumika kwenye mazao gani ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…

  15. Je, asilimia ngapi ya wakulima wanatumia mbegu za asili ?
    a. 0 – 30
    b. 31 – 60
    c. 61 - 100

  16. Mbegu hizo zinapatikana wapi?
    a. Ndani ya Kata
    b. Nje ya Kata

  17. Je, wakulima katika Kata yako wanatumia viuatilifu ?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  18. Kama jibu ni ndiyo, ni asilimia ngapi ya wakulima wanatumia viuatilifu ?
    a. 0 – 30
    b. 31 – 60
    c. 61 - 100

  19. Viuatilifu hivyo vinatumika hususan kwenye mazao gani ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …

  20. Kwa wastani katika Kata yako, viuatilifu vinauzwa bei gani? Taja bei…

  21. Je, ni asilimia ngapi ya wakulima wanapata viuatilifu vya ruzuku?
    a. 0 -30
    b. 31 - 60
    c. 61 - 100
    HALI YA VISUMBUFU VYA MAZAO NA MIMEA-DCD

  22. Je katika Kata yako kuna magonjwa au visumbufu vinavyoathiri mazao?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  23. Kama jibu ni Ndiyo, ni magonjwa gani yanayoathiri mazao?..

  24. Kama jibu ni Ndiyo ni Visumbufu gani vinavyoathiri mazao?..

  25. Ni njia gani zinatumika katika kudhibiti magonjwa au visumbufu katika eneo lako?
    a. Njia za asili
    b. Kutumia kemikali

  26. Je, katika Kata yako kuna milipuko ya visumbufu vya mazao na mimea ?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  27. Kama jibu ni Ndiyo, huduma ya udhibiti wa milipuko ya visumbufu inatolewa na nani?
    a. Serikali
    b. Sekta binafsi

  28. Je, ni mazao gani yanayoathirika sana na visumbufu vya mazao na mimea katika Kata yako?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko(u) chai (v) mazao mengine, yataje …

HALI YA AFYA YA UDONGO-DLUP
52. Je, katika Kata yako, upimaji wa udongo umefanyika?
a. Ndiyo
b. Hapana
53. Kama jibu ni Ndiyo, taja aina ya udongo katika Kata yako. (Wasilisha taarifa ya upimaji wa udongo)
a. Kichanga
b. Tifutifu
c. Mfinyanzi
54. Je, ni ipi hali ya udongo katika Kata yako ?
a. Alkali
b. Tindikali
c. Neutral
HALI YA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA UGANI-DCD
55. Je, kuna watoa huduma za ugani wangapi katika eneo lako? …
a. < 5
b. > 5
56. Ni huduma zipi za ugani zinazotolewa katika Kata yako ?
a. Ushauri wa kilimo
b. Masoko
c. Hali ya hewa
d. Nyingine (Taja)
57. Je, kuna maafisa ugani wangapi katika Kata yako ? …
58. Je, Maafisa ugani wangapi ni wa Serikali ? …
59. Je, Maafisa ugani wangapi ni wa Sekta binafsi ? …
60. Je, huduma gani za ugani za kimtandao zinapatikana katika Kata yako ?
a. M – Kilimo
b. Ugani kiganjani
c. Call Centre
d. Nyingine (Taja)
e. Hakuna
HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI KWA AJILI YA KILIMO-DMV
61. Je, kwenye Kata yako kuna vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji?
a. Ndiyo
b. Hapana
62. Kama jibu ni Ndiyo viko vingapi ? …
63. Je, vyanzo hivyo ni vya msimu au mwaka mzima?
a. Msimu
b. Mwaka mzima
64. Je, wakulima katika Kata yako wanazalisha mazao kwa kutegemea : -
a. Umwagiliaji
b. Mvua
c. Umwagiliaji na mvua
65. Kama jibu ni (a), taja chanzo cha maji kinachotumika
a. Mto
b. Ziwa
c. Bwawa la asili
d. Bwawa la kutengeneza
e. Kisima
66. Je, kuna skimu za umwagiliaji katika Kata yako ?
a. Ndiyo
b. Hapana
67. Kama jibu ni Ndiyo, skimu hizo ziko ngapi ? … (zitaje…)
68. Je, skimu hiyo/hizo zina ukubwa kiasi gani ? …(taja kwa ekari)
69. Taja mazao yanayolimwa katika skimu hizi?
(a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …

  1. Je, skimu hiyo/hizo zinahudumia watu wangapi ? …

  2. Je kuna skimu za umwagiliaji za asili?
    (a) Ndiyo
    (b) Hapana

  3. Kama jibu ni ndiyo ni ngapi, taja idadi na ukubwa wa hizo skimu pamoja na wanufaika wake

  4. Skimu za umwagiliaji zipo katika hali ipi ?
    a. Imekamilika
    b. Inahitaji ukarabati

  5. Je kuna umoja wa umwagiliaji ulisajiliwa katika kata yako
    (a) ndiyo
    (b) hapana

  6. Kama jibu ni ndiyo taja idadi na namba zao za usajili…

  7. Skimu za umwagiliaji zipo katika hali ipi ?
    a. Imekamilika
    b. Inahitaji ukarabati
    HALI YA UPATIKANAJI WA MITAJI YA KILIMO-DPP

  8. Je, mikopo ya kilimo katika Kata yako inapatikana?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  9. Kama jibu ni Ndiyo, ni kipi chanzo cha mitaji katika shughuli za kilimo katika eneo lako ?
    a. Taasisi rasmi
    b. Taasisi zisizo rasmi

  10. Kama jibu ni (a), ni taasisi gani zinatoa mitaji kwa kiasi kikubwa katika Kata yako ? (zitaje … )

  11. Ni aina gani ya mikopo inayotolewa kwa wakulima katika Kata yako ?
    a. Mikopo midogo
    b. Mikopo mikubwa

  12. Je, wastani wa kiwango cha riba katika eneo lako ni kiasi gani?
    HALI YA UWEKEZAJI KATIKA KILIMO-DPP

  13. Je, katika Kata yako kuna wawekezaji kwenye kilimo ?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  14. Kama jibu ni Ndiyo, Je, kuna wawekezaji wanaolima zaidi ya ekari 200?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  15. Kama jibu ni Ndiyo, taja idadi ya wawekezaji hao …

  16. Wawekezaji hao wamewekeza katika mazao gani?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …

  17. Je, kuna wawekezaji wangapi kwenye kilimo walioajiri zaidi ya watu 50? …

  18. Je, ni eneo gani katika mnyororo wa thamani ambalo limewekezwa zaidi na wawekezaji wakubwa?
    a. Uzalishaji wa shambani
    b. Usafirishaji
    c. Uchakataji
    d. Usindikaji
    e. Nyingine (Taja)

  19. Je, kuna ardhi imetengwa kwa ajili ya wawekezaji kwenye kilimo?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  20. Kama jibu ni Ndiyo, ni Ekari ngapi zilizotengwa kwa ajili ya uwekezaji kwenye kilimo ?
    HALI YA ARDHI YA KILIMO-DLUP

  21. Je katika kaya yako, maeneo mengi yana udongo wa aina gani?
    c. Kichanga
    d. Tifutifu
    e. Mfinyanzi

  22. Je, katika Kata yako, tathmini ya afya ya udongo imefanyika?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  23. Kama jibu ni Ndiyo, Tathmini ya afya ya udongo ilifanywa na nani?
    a. Serikali
    b. Mashirika binafsi
    c. Afisa ugani /kilimo wa kata
    Wasilisha taarifa ya upimaji wa udongo)

  24. Je, katika kata yako wakulima wanauelewa wa uwepo wa tindikali katika udongo?

  25. Kama ndiyo, taja viashiria vitatu vya tindikali kwenye udongo…

  26. Je ni hatua zipi umechukua kukabiliana na tatizo la tindikali ya udongo (taja 3)

  27. Ipi ni Hali ya rutuba ya udongo katika kijiji chako.
    a. Hafifu
    b. Nzuri
    c. Wastani

  28. Vijiji kwenye kata vina mpango wa matumizi ya Ardhi?..(ndiyo/Hapana)

  29. Kama kuna mipango ya matumizi ya ardhi, je, ni vijiji vingapi vina mipango ya matumizi ya ardhi? Na ni wa mwaka gani?..

  30. Iwapo kuna mipango wa matumizi ya ardhi, Kuna eneo kiasi gani la kilimo lililotengwa kutokana na Mpango wa matumizi ya Ardhi kwenye kata? ……… (Ekari).

  31. Je eneo hilo la kilimo linalimwa lote?..(ndiyo/Hapana)

  32. Kama eneo la kilimo lililotengwa kwenye mipango wa matumizi ya ardhi halilimwi lote, Je, ni eneo kiasi gani lisilolimwa? ………. (Ekari)

  33. Je, eneo lisilolimwa lina umiliki? …………… (ndiyo/Hapana)

  34. Je kuna migogoro ya matumizi ya Ardhi kwenye kata?.. (ndio/hapana)

  35. Kama kuna migogoro ya ardhi kwenye kata orodhesha migogoro hiyo (i)…………………………., (ii) ……………., (iii)………………………

  36. Taja ukubwa wa eneo linalolimwa kwenye kata……………………….

  37. Je, ni jinsi (Sex) gani linahusika zaidi kwenye shughuli za kilimo?
    a. wanawake
    b. wanaume,

  38. Je, ni kundi gani linahusika zaidi kwenye shughuli za kilimo?
    a. Watoto chini ya miaka 18
    b. Vijana
    c. Watu wazima
    d. Wazee

  39. Umewahi kusikia juu ya afya ya udongo? ……………… (ndio au Hapana)

  40. Kama umewahi kuskia kuhusu afya ya udongo, taja chanzo ulichopata taarifa
    a. Serikali
    b. Sekta binafsi
    c. Wadau wa Maendeleo

  41. Je, wakulima wana ufahamu wowote kuhusu afya ya udongo?.. (ndio au hapana)

  42. Unaelewa uhusiano uliopo kati ya uzalishaji wa mazao na afya ya udongo? …………… (ndio au Hapana)

  43. Kama unaelewa, eleza uhusiano uliopo kati ya uzalishaji wa mazao na afya ya udongo………

  44. Wanawake wanaruhusiwa kumiliki ardhi kimila?.. (ndio/hapana)

  45. Kama ndio, je ardhi imepatikanaje?
    a. Kununua,
    b. Kurithi,
    c. Kukodii
    d. Familia

  46. Je, kila kaya ina miliki ardhi kwa ukubwa wa eneo gani (ekari) ………………………….

HALI YA MAZINGIRA WEZESHI YA KIBIASHARA-DMF
116. Je, kuna masoko yaliyojengwa kwa ajili ya biashara ya mazao ya kilimo?
a. Ndiyo
b. Hapana
117. Hali ya miundombinu ya masoko ikoje?
a. Nzuri
b. Wastani
c. Mbaya
118. Je, kuna minada inayofanyika kwa mfumo wa kidigitali wa TMX katika eneo lako ?
a. Ndiyo
b. Hapana
119. Kama jibu ni Ndiyo, minada hiyo inafanyika kwa mazao gani?
(a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, taja…

  1. Kama jibu ni Hapana, taja njia nyingine inayotumika kuuza mazao katika eneo lako
    Kwa asilimia ni kiasi gani cha mazao kinachostahili kuuzwa kupitia minada ya TMX
    Kwa asilimia ni kiasi gani cha mazao kinauzwa kupitia minada ya TMX
    HALI YA HUDUMA ZA USIMAMIZI WA MAZAO BAADA YA KUVUNA-DMV
  2. Je, kuna miundombinu ya uhifadhi wa mazao katika Kata yako?
    a. Ndiyo
    b. Hapana
  3. Kama jibu ni Ndiyo, ni aina gani ya miundombinu ?
    a. Ghala
    b. Miundombinu ya ubaridi
  4. Kama jibu ni (a), Je kuna ghala ngapi ? zitaje …
  5. Kila ghala linauwezo wa kuhifadhi tani ngapi za mazao ? …
  6. Je, ni mazao gani yanayohifadhiwa katika ghala hizo ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …
  7. Je, ghala hizo zinamilikiwa na Sekta ipi ?
    a. Serikali
    b. Binafsi
    c. Vyama vya ushirika
  8. Je, ghala zilizopo katika Kata yako zimesajiliwa na Bodi ya stakabadhi ghalani?
    a. Ndiyo
    b. Hapana
  9. Kama jibu ni Ndiyo, ni ghala ngapi zimesajiliwa katika Bodi ya Stakabadhi ghalani ?..
  10. Kama jibu ni (b) katika swali Na. 92, kuna miundombinu ya ubaridi mingapi ? …
  11. Miundombinu hiyo inauwezo wa kuhifadhi tani ngapi za mazao kila moja ?..
  12. Je, ni mazao ya aina gani yanayohifadhiwa katika miundombinu hiyo ?
    (a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje…
  13. Je, miundombinu hiyo inamilikiwa na sekta ipi ?
    a. Serikali
    b. Binafsi
    c. Vyama vya ushirika
  14. Je kuna teknolojia za uvunaji katika kata yako?
    (a) Ndiyo
    (b) hapana
  15. Kama jibu ni ndiyo taja teknolojia zilizopo?
  16. Je kuna teknlojia za ukaushaji wa mazao baada ya kuvuna
    (a) Ndiyo
    (b) hapana
  17. Kama jibu ni ndiyo taja teknolojia zilizopo?..
  18. Taja teknoloojia zinazotumika kuanzia kuvuna mpaka kuhifadhi na upatikanaji wake katika maeneo ya kata yako.
    a. Kuvuna
    b. Kupura
    c. Kukausha
    d. Kusindika
    e. Kusafirisha
    f. Kuhifadhi

HALI YA USHIRIKA-DMF
138. Je, kuna vyama vya ushirika katika Kata yako?
a. Ndiyo
b. Hapana
139. Kama jibu ni Ndiyo, kuna Vyama vya Ushirika vingapi? …
140. Je, wakulima wangapi wamejiunga na vyama vya Ushirika katika kata yako? …
141. Vyama hivyo vinashughulika na mazao gani?
(a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …
142. Je taarifa za hali ya hewa unazipata kwa wakati? A) Ndio B) Hapana
143. Kama jibu ni ndio Je zinakusaidia kutoa ushauri kwa wakulima? A) Ndio B) Hapana.

HALI YA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA KILIMO-BBT
144. Je, kuna vijana katika Kata yako wanaojishughulisha na kilimo?
a. Ndiyo
b. Hapana
145. Kama jibu ni Ndiyo, wanajihusisha na mazao gani ?
(a) Mahindi (b)Mpunga (c) Mtama (d) Ngano (e) Kahawa (f) Mkonge (g) Pamba (h) Korosho (i) Alizeti (j) Ufuta (k) Soya (l) Maharage (m) Mhogo (n) Ndizi (o) Karafuu (P) viazi mviringo (q) nyanya (r) parachichi (s) dengu (t) choroko (u) chai (v) mazao mengine, yataje …
146. Je, ni changamoto zipi zinazowafanya vijana wasishiriki katika kilimo (tiki kwenye changamoto kubwa zaidi)
a. Upatikanaji wa ardhi
b. Mitaji
c. Masoko
d. Teknolojia
HALI YA MATUMIZI YA ZANA ZA KILIMO-DMV
147. Je, kuna zana za kilimo katika Kata yako?
a. Ndio
b. Hapana
148. Kama jibu ni ndio je ni aina gani ya zana zinazotumika kwenye kilimo
a.mashine
b.Zana za kukokotwa na wanyamakazi
c.Jembe la mkono
149. Kama jibu ni a) Jaza idadi na hali ya mashine za kilimo zinazotumika katika kata yako
Na Aina ya Mashine Nzima sana Nzima Mbovu Mbovu sana
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

  1. Kama jibu la 119. ni (a) Je wamiliki wa zana hizo ni?
    a. Serikali
    b. Wakulima
    c. Vyama vya ushirika
    d. Taasisi binafsi

  2. Je kuna kituo cha kukodisha zana za kilimo katika kata yako?
    a. Ndiyo
    b. Hapana

  3. Kama jibu ni Ndiyo ,taja idadi ya vituo vilivyopo katika kata yako?..

  4. Taja huduma zinazotolewa na kituo hicho cha kukodisha zana
    a. Kulima
    b. Kupanda
    c. Kupalilia
    d. Kunyunyizia dawa
    e. Kuvuna
    f. Kusafirisha

  5. Taja gharama za kukodisha zana kwa ekari?
    a. Kulima
    b. Kupanda
    c. Kupalilia
    d. Kunyunyizia dawa
    e. Kuvuna

  6. Je ni njia gani wakulima wanatumia kupata zana hizo?
    
a. Kumiliki
b. Kukodi

  1. Je gharama za upatikanaji wa zana za kilimo ni rafiki kwa wakulima?
    a. Ndio
    b. Hapana

  2. Je zana zilizopo zinakidhi mahitaji ya wakulima katika eneo lako?
    a. Ndio
    b. Hapana

  3. Je kuna opereta wa mashine za kilimo katika kata yako?
    a. Ndio
    b. Hapana

  4. Kama jibu ni ndio Je operata wangapi wamepata mafunzo?..

Welcome to the community, @f.Ndumbaro_68! Did you mean you wish to design a survey form with the questions you have outlined above? If yes, kindly please confirm and I could tag our interested community members who would like to help you out.